Chuo Cha Ualimu
Paradigms
Africa's Center for
Educational
Excellence!
KAULI YA MWENYEKITI WA BODI
“Nawahamasisha wazazi / walezi/watu binafsi wanaotaka kuwapatia vijana wao au kujipatia elimu bora kuchagua Chuo cha Ualimu Paradigms. Kwetu Paradigms elimu bora ni ile inayomuwezesha mwanafunzi kujijengea uwezo wa kiakili wa kuhoji masuala ya msingi kwa kujiamini kuwa anaweza, huku akithubutu kuchukua hatua mahsusi za kujiletea maendeleo.”
Prof. I. K. Bavu
Terminal Examination Results | Form Six NationalExamination Results | More Examination Results!
Mid Term Results June 2010 | Grade iii a –annual results, june 2010 | Diploma annual results June 2010
Chuo cha ualimu Paradigms, ni chuo chenye kutoa elimu bora na kuaandaa walimu bora ambao ni mfano wa kuigwa. Chuo kinatoa elimu na kuandaa walimu ngazi ya Stashahada, Cheti cha Daraja la 3 A na cheti cha Ualimu wa awali. Chuo kinapokea wanachuo wa kutwa na bweni, wavulana kwa wasichana.
Chuo cha Ualimu Paradigms kipo kata ya Kimara, Mtaa wa Mavurunza, katika vilima vya Bonyokwa, Wilayani Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam. Chuo kimejengwa na kinaendelea kupanuliwa katika eneo la Ekari 25, linalomilikiwa, kupangwa na kuendelezwa na Paradigms Institute Ltd.
Tunafundisha masomo ya ualimu kulingana na mtaala wa Taasisi ya Elimu ya Taifa (Tanzania Institute of Education) unaotahiniwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
KAULI MBIU: ”Education for Inspiration”....Soma zaidi
Shughuli za Mitaala
Shughuli Nje ya Mitaala
Malipo yote yapelekwe kwenye benki ya CRDB PLC. Akaunti yetu ni 01J1096286400, Paradigms Teacher’s Training College katika tawi lolote lile.
Hizi pia zinamilikiwa na Paradigms Institute Ltd
Taasisi |
Usajili. Na. |
Paradigms Nursery School. Reg. No. |
DS.02/7/E.A 091 |
Paradigms English Medium Primary School. |
DS.02/7/7091 |
Paradigms Secondary School for O’ & A' level |
2539 |