Chuo Cha Ualimu
Paradigms
Africa's Center for
Educational
Excellence!
KAULI YA MWENYEKITI WA BODI
“Nawahamasisha wazazi / walezi/watu binafsi wanaotaka kuwapatia vijana wao au kujipatia elimu bora kuchagua Chuo cha Ualimu Paradigms. Kwetu Paradigms elimu bora ni ile inayomuwezesha mwanafunzi kujijengea uwezo wa kiakili wa kuhoji masuala ya msingi kwa kujiamini kuwa anaweza, huku akithubutu kuchukua hatua mahsusi za kujiletea maendeleo.”
Prof. I. K. Bavu

Ualimu wa chekechea/awali(nursery)
Ngazi ya cheti kwa waliomaliza kidato cha IV na kuendelea
Ualimu wa shule za msingi(daraja la III A)
Kwa waliomaliza kidato cha nne na kupata daraja la IV Point 28 na kuendelea.
Stashahada ya ualimu (diploma in secondary education)
Kwa waliomaliza kidato cha 6 na kupata angalau Principal I na subsidiary 1.
PIA TUNAFUNDISHA BURE
WANACHUO WOTE WATAFUDISHWA KOZI YA UJASIRIAMALI NA KOMPYUTA BURE
