Chuo Cha Ualimu
Paradigms
Africa's Center for
Educational
Excellence!
KAULI YA MWENYEKITI WA BODI
“Nawahamasisha wazazi / walezi/watu binafsi wanaotaka kuwapatia vijana wao au kujipatia elimu bora kuchagua Chuo cha Ualimu Paradigms. Kwetu Paradigms elimu bora ni ile inayomuwezesha mwanafunzi kujijengea uwezo wa kiakili wa kuhoji masuala ya msingi kwa kujiamini kuwa anaweza, huku akithubutu kuchukua hatua mahsusi za kujiletea maendeleo.”
Prof. I. K. Bavu
Gharama za chuo
Chuo kina mihula mitatu ya malipo ya ada, ambayo ni JULAI--- SEPTEMBA muhula wa kwanza, OCTOBA -- NOVEMBA muhula wa pili na JANUARI----- MACHI muhula wa tatu.
Gharama hapa chini hulipwa mara moja
Usaili na usajili Tsh. 60,000/= hulipwa mara moja tu
Sare za chuo Tsh. 60,000/= hulipwa mara moja tu
KARO / ADA YA MHULA
Gharama hizi hapa chini hulipwa kila muhula
UALIMU WA SHULE ZA AWALI (NURSERY SCHOOL TEACHER) MUDA WA KUSOMA MIEZI 15
UALIMU WA SHULE ZA MSINGI (DARAJA LA IIIA) MUDA WA KUSOMA MIAKA 2
STASHAHADA YA UALIMU MUDA WA KUSOMA MIAKA 2
N.B: Gharama hizi zilipwe mwanzoni mwa muhula husika.
Gharama zikishatolewa hazitarudishwa kwa sababu yeyote ile. Kanuni za shule na masharti mengine utayakuta shuleni.
Jinsi ya kulipia
Gharama hizi zilipwe kwenye Acc. Na. 01J1096286400; Paradigms Teacher’s Training College, kwenye benki yeyote ya CRDB Bank Ltd, na uje na pay in slip chuoni ili upate risiti